CancelAccountResetInfo

Log InCritical
Somebody with access to **%1$s** has requested to delete your Telegram account and reset your 2-Step Verification password.

If this wasn't you, please enter the code we've just sent you via SMS. You can also cancel this by **changing your phone number** to a number you control.
Please make sure the text isn't longer than the English one or check that it fits.
255
Applied
Mtu aliye na nambari yako **%1$s** ametuma ombi kufuta akaunti yako ya Telegram na kuweka upya nywila yako ya udhibitishaji wa hatua mbili.

Iwapo haikuwa wewe, tafadhali ingiza msimbo tuliokutumia kupitia SMS kwa nambari yako.
227/255
Deleted Account, May 13, 2020 at 08:23
Applied
Mtu mwenye namba yako %1$s ameomba kufuta akaunti yako ya Telegram na kubadili nywila yako ya uthibitisho wa hatua mbili.

Kama siyo wewe, tafadhali ingiza msimbo tuliokutumia kwa SMS. Pia unaweza kusitisha hili kwa kubadili namba yako ya simu.
244/255
Kocha Dr. Makirita Amani, Dec 19, 2021 at 11:51
Applied
Mtu anayeweza kufikia %1$s ameomba kufuta akaunti yako ya Telegram na kubadili nywila yako ya Uthibitisho wa Hatua Mbili.

Kama sio wewe, tafadhali weka msimbo tuliokutumia hivi punde kwa SMS. Waweza pia kughairi hili kwa kubadilisha nambari yako ya simu
255/255
1
nicckymouse, Dec 20, 2021 at 12:28
1 comment
nicckymouseDec 20, 2021 at 12:57Reply
previous translation omitted crucial information that the SMS has just been sent.
Applied
Mtu aliye na ufikivu wa %1$s ameomba kufuta akaunti yako ya Telegram na kurejesha nenosiri lako la Uthibitisho wa Hatua Mbili.

Kama hukuwa wewe, tafadhali ingiza nambari tuliyokutumia kupitia SMS. Unaweza pia kufuta hii kwa kubadilisha namba yako ya simu.
257/255
Mogasa, Nov 12, 2023 at 06:34