lng_new_authorization

GeneralCritical
{name},
We detected a login to your account from a new device on {day}, {date} at {time}.

Device: {device}.
Location: {location}

If this wasn't you, you can go to Settings > Privacy and Security > Show all sessions and terminate that session
.

If this wasn't you think that somebody logged in to your account against your will, you can go to Settings >enable Two-Step Verification in Privacy and Security > Show all sessions and terminate that session.

If you think that somebody logged in to your account against your will, you can enable Two-Step Verification in Privacy and Security
settings.

Sincerely,
The Telegram Team.
417
Applied
{name},
Tumegundua kifaa kipya kikiingia akaunti yako mnamo {day}, {date} saa {time}.

Kifaa: {device}.
Eneo: {location}.

Iwapo hii haikuwa wewe, unaweza kuenda Mipangilio > Faragha na Usalama > Onyesha vipindi vyote na utamatishe kipindi hicho.

Iwapo wadhani kuna mtu aliingia akaunti yako bila hiari yako, waweza kuwezesha udhibitishaji wa hatua mbili kwenye mipangilio ya Faragha na Usalama.

Kwa uaminifu,
Timu ya Telegram.
429/417
1
Deleted Account, Aug 11, 2020 at 11:27
Applied
{name},
Tuligundua kuingiwa kwa akaunti yako na kifaa kipya mnamo
{day}, {date} saa {time}.

Kifaa: {device}.
Eneo: {location}.

Iwapo hii haikuwa wewe, fuata Mipangilio > Faragha na Usalama > Onyesha vipindi vyote na utamatishe kipindi hicho.

Iwapo wadhania mtu aliingia akaunti yako bila ruhusa, wazesha udhibitishaji kwa hatua mbili kwenye mipangilio ya Faragha na Usalama.

Daima waaminifu,
Timu ya Telegram.
414/417
J J, Dec 21, 2021 at 16:18