lng_terms_update_sorry

We're very sorry, but this means we must part ways here. Unlike others, we don't use your data for ad targeting or other commercial purposes. Telegram only stores the information it needs to function as a secure and feature-rich cloud service. You can adjust how we use your data in Privacy & Security settings.

But if you're generally not OK with Telegram's modest requirements, it won't be possible for us to provide you with this service. You can delete your account now — or look around some more and delete it later if you feel you're not happy with the way we use your data.
581
Applied
Tunasikitika, lakini hii inamaanisha hatuna budi kuagana hapa. Tofauti na wengine, hatutumii data yako kwa matangazo yanayokulenga ama sababu zengine za kibiashara. Telegram huhifadhi tu taarifa inayohitajika kufanya kazi kama huduma yenye vipengele vingi. Unaweza badilisha jinsi tutumiavyo data yako (k.m., futa waasiliani waliolandanishwa) katika Mipangilio ya Faragha & Usalama.

Lakini kama hauko sawa na mahitaji chache ya Telegram, hatutaweza kukupa huduma hii. Unaweza kufuta akaunti yako sasa - ama tupa macho zaidi kidogo alafu uifute baadaye kama hujafurahia jinsi tunavyotumia data yako.
599/581
Deleted Account, Aug 3, 2020 at 11:19