Pole sana, lakini hii inamaanisha huwezi jisajili na Telegram.
Tofauti na wengine, hatutumii data yako kwa matangazo yanayokulenga ama sababu zengine za kibiashara. Telegram huhifadhi tu taarifa inayohitajika kufanya kazi kama huduma yenye vipengele vingi. Unaweza badilisha jinsi tutumiavyo data yako (k.m., futa waasiliani waliolandanishwa) katika Mipangilio ya Faragha & Usalama.
Kama hauko sawa na mahitaji chache ya Telegram, hatutaweza kukupa huduma hii.
Log in here to translate Telegram apps. Please enter your phone number in the international format and we will send a confirmation message to your account via Telegram.