Tunasikitika, lakini hii inamaanisha hatuna budi kuagana hapa.
Tofauti na wengine, hatutumii data yako kwa matangazo yanayokulenga ama sababu zengine za kibiashara. Telegram huhifadhi tu taarifa inayohitajika kufanya kazi kama huduma yenye vipengele vingi. Unaweza badilisha jinsi tutumiavyo data yako (k.m., futa waasiliani waliolandanishwa) katika Mipangilio ya Faragha & Usalama.
Kama hauko sawa na mahitaji chache ya Telegram, hatutaweza kukupa huduma hii. Unaweza kufuta akaunti yako sasa - ama tupa macho kidogo alafu uifute baadaye kama hujafurahia jinsi tunavyotumia data yako.