Picha, video na faili zingine kutoka gumzo za wingu ambazo **hujafikia** katika muda huu zitatolewa kwenye kifaa hiki kuokoa nafasi ya diski.
Midia yote itabaki kwenye wingu wa Telegram na huweza kupakuliwa tena iwapo taitaka tena.
Hifadhi ya kifaa
%s kashe ya Telegram
%s Data nyingine
%s Huru
Futa kashe ya Telegram
Futa hifadhidata ya ndani
Kufuta hifadhidata ya ndata kutafuta matini ya jumbe za kashe na kufinyaza hifadhidata kuokoa nafasi ya diski ya ndani. Telegram huhitaji angalau data kidogo ili ifanye kazi, kwa hivyo ukubwa wa hifadhidata hautafika sufuri.
Operesheni hii huenda ikachukua dakika chache kukamilika.
Log in here to translate Telegram apps. Please enter your phone number in the international format and we will send a confirmation message to your account via Telegram.